Foundation

Niko Waks

Niko Waks inasaidia ma-youth kujisimamia. Through training, funding na access to markets, ma-youth wanaweza kujijenga ili future yao ikuwe secure na wapande ngazi ya life.

Agriculture

Future ya agribiz kwa ma-youth ni hydroponic farming. Hii njaro ya farming haitumii mchanga, unapanda mimea kwa greenhouse na pia time ya ku-harvest ni fupi sana. Kwa hii programme, Miramar International College (MIC) itakupatia training ya hydroponic farming, na pia watanunua produce yako direct – kwa hivyo hutasumbuka kupata soko.

Apply for a scholarship today

Manufacturing

Ujuzi ya manufacturing itakusaidia kutengeneneza maisha poa. Kwa hii programme, kampuni ya Gearbox itakupatia training ya kutengeneza zile material zitatumika kwa kujenga ma greenhouse, na pia order za hizo material zikitoka, watakuchora uzitengeneze – kwa hivyo hutasumbuka kupata biz.

Apply for a scholarship today

Construction

Ukijua job ya construction, pia wewe unaweza pata opportunities za kujijenga. Kwa hii programme, kampuni ya Arc Skills itakupatia training ya kujenga ma greenhouse, na pia contract za ku construct greenhouses zikitoka, watakuchora uzijenge – kwa hivyo hutasumbuka kupata kazi.

Apply for a scholarship today

Film

Ukipata ujuzi ya film, unaweza shoot movie ya ku inspire ma-youth wengine wajiunge na Niko Waks, na hawa pia waweze kijujenga ili future yao ikuwe secure.

Apply for a scholarship today

Story za wasee wanamake it

Gallery

Partners wa Niko Waks